Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimsikiliza mwakilishi wa wa kampuni ya Nilo Vital ya Ubelgiji Bwana Denis Mbonimpa aliekuwa akimweleza mipango ya kampuni yake kununua pareto ya Tanzania na kuwekeza Tanzania ili kuongeza kiwango cha uzalishaji na usindikaji wa pareto Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa wale wenye kumbukumbu ya Jiografia ya nchi yetu(Shule za msingi)-Pareto inalimwa mkoa/wilaya ipi Tanzania?Si vibaya tukakumbushana

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...