Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimsikiliza mwakilishi wa wa kampuni ya Nilo Vital ya Ubelgiji Bwana Denis Mbonimpa aliekuwa akimweleza mipango ya kampuni yake kununua pareto ya Tanzania na kuwekeza Tanzania ili kuongeza kiwango cha uzalishaji na usindikaji wa pareto Tanzania.
Home
Unlabelled
Pareto ya Tanzania Kuuzwa kwa wingi Ulaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa wale wenye kumbukumbu ya Jiografia ya nchi yetu(Shule za msingi)-Pareto inalimwa mkoa/wilaya ipi Tanzania?Si vibaya tukakumbushana
ReplyDeleteDavid V