Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Profesa Steiner Kvisland kutoka
hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway, alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Profesa Steiner Kvisland
kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Norway, baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Profesa Steiner Kvisland
kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway,baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...