Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa MWandamizi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Bw. Nsavike Ndatta baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika Mhe. Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika Mhe. Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013.
 Rais ad5: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole  baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia  Oktoba 12, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole  baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia  Oktoba 12, 2013.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. natamani ningesikia Mh. Mugabe alikuwa anajoke kitu gani na Rais Kikwete. maana picha ya kwanza inaonyesha Jongwe alikuwa anasisitiza kitu flani ambacho ni serious lkn kwa njia ya utani......na picha ya mwisho ni kama anamwambia 'haya kijana kazi kwako, mimi ndio nimeshaongea hivyo' nimeipenda sana hiyo! Ankali ukiweze turushie ktk youtube plz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...