FAMILIA ya Kakore ya Chome-Same, Kilimanjaro inasikitika kutangaza kifo cha Kaka yao mkubwa, Mwalimu Jasper Rashid Kakore, kilichotokea Jumapili ya Oktoba 20, 2013 nyumbani kwake Gonja-Same, Kilimanjaro. 

Mazishi yatafanyika Gonja Vuje Jumatano Oktoba 23, 2013 , Habari ziwafikie Familia ya Kakore ya Dar es Salaam, Tanga, Dodoma na Arusha, Familia ya Ngoka Mndeme, Dar es Salaam, Tanga, Kilimanjaro na Zanzibar, Elimfoo Nguu wa Same, Mbonea Mchome wa Arusha, Wanafunzi waliosoma shule za Same Sekondari, Dindimo sekondari za Kilimanjaro, Maramba Tanga na Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Marehemu popte walipo.

Kwa mawasiliano:

Joseph Kakore 0784 376 999
Ahadi Kakore 0784 890 387

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...