Kwa masikitiko makubwa napenda kuufahamisha UMA kuwa utapeli alioutaja Ndugu Mpenda Haki upo na inawezekana kabisa umewaathiri wutumiaji wengine wa mitandao bila wenyewe kujua. Mimi nimepokea mpaka jana CV 4 za watu tofauti wakiomba kazi kwenye kampuni yangu. Kwanza niseme sina Kampuni ila naamini kabisa matapeli hawa wametumia email yangu kutangaza kazi, kama siyo hivyo basi wamefungua email inayofanana karibia kabisa na yangu..
Nilipopokea CV kwa mara ya kwanza nilifikiri ni scam nika-delete. Nimepokea email zingine tatu toka kwa _Last Names Only: Mbasa, Msigwa and Jonathan jumla nne pamoja na ile ya kwanza. Jambo moja muhimu hapa Barua za kuomba kazi zinazo ambatanishwa na CV zimeandikwa sawasawa kana kwamba zimeandikwa na mtu mmoja na kubadilisha kile alichosomea na uzoefu. Sina uhakika kama mdau Mpenda
Haki alikua na maana ya utapeli wa aina hii au kuna mwingine
unaendelea. Kwa kifupi kabisa kama mtu akiona tangazo la kazi sehemu
likimtaka atume email kwenda sterling..()@yahoo.co.uk, tafadhali
usitume CV yako will just be deleted halafu ukae unahesabu umeomba
kazi kwenye Kampuni fulani.
unaendelea. Kwa kifupi kabisa kama mtu akiona tangazo la kazi sehemu
likimtaka atume email kwenda sterling..()@yahoo.co.uk, tafadhali
usitume CV yako will just be deleted halafu ukae unahesabu umeomba
kazi kwenye Kampuni fulani.


Mimi nadhani email za hivyo zimeshafika 10 huwa na delete naona junk mail kumbe kuna utapeli ndani yake. Hii ni hatareeeeee
ReplyDelete