Mratibu wa mradi wa utafiti wa miwa kutoka Uganda Dr Reddy Manuru (L mhindi ) akichangia jambo kuhusu mradi wa utafiti wa miwa (c)Mwenye kiti wa warsha Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Henry Semwanza (R) Mratibu wa mradi wa utafiti wa miwa afrika mashariki Bwana Juhudi Chambi
 Mwenyekiti wa warsha ya utafiti wa mradi wa miwa ambaye ni kaimu wa bodi ya sukari Tanzania Bw Henry Semwanza akiteta jambo na wandaji wa warsha (c)Mratibu wa mradi wa utafiti wa miwa afrika mashariki Bw Juhudi Chambi (R) Dr mratibu wa utafiti wa miwa kutoka Uganda Dr Reddy Manuru .Warsha  hiyo yo kimataifa imefanyika siku mbili Jijini  Arusha
 Baadhi ya wadau walioshiriki Warsha hiyo wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi kwan ngeweka jina na kusema wa kwanza shoto kungekua na tatizo gani?ukiweka neno Muhindi unaleta ubaguzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...