Ambassador at a Dinner with Tanzanians in MN.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani, Mrs Liberata Mulamula  na Mume wake George Mulamula Jumapili alikutana na Watanzania wanaokaa Marekani Katika Jimbo la Minnesota.Ni balozi anayetoka ushirikiano mkubwa sana na kujali maisha na mipango ya watanzania wenzake waliyonayo hasa katika kuendeleza nyumbani tutokapo.
 
 Ambassador with COSAD Partners. Dr Barr & Shattuck team
 Balozi Mulamula Perming with Smart in Minnesota. Nov 3.
The Baliras. The Baitanis & Ambassador Mulamula

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ankoo ..mambo!
    Hivi balozi wa Ukanda huu wa korea jamani ni nani? Yaani korea kuna watanzania wengi sana wanafunzi na wafanyabiashara ila balazi hakuna ofisi wala yeye kuja kutembea hata kusalimia...kama ni wa japan na hapa sasa ndio anajificha japan tuu?hata korea kuna binadamu na umoja upo..

    ReplyDelete
  2. pole ndugu yangu, ni mabalozi wengi tu wasio na mawazo endelevu au kujali watanzania, hii ni vile nafasi zao hujazwa kwa mapenzi ya kiongozi mkuu

    ReplyDelete
  3. Pole mdau namba 1, Mabalozi wengi wameteuliwa ili watengeneze walau hela ya uzeeni si kuwakilisha nchi.Kwani ukiondoa Marekani na UK ,kwingine mabalozi wameuchapa "usingizi" DUNIA NI KIJIJI WAJITOKEZE KAMA WAPO NA WAJE NA MIPANGO YA KUTANGAZA NCHI.

    MABALOZI WOTE MLIO CHAPA USINGIZI" AIBU KWENU"

    ReplyDelete
  4. Mh nimewaona wazee wa Minnesota. Hongera sana kwa ugeni huu. Naona mmpepata Balozi mzuri nimekumbuka enzi zangu siku nikiwatembelea mniweke kwenye blog watu wanione.

    ReplyDelete
  5. Anoni wa hapo juu kweli kabisa. Mfano huyu wa hapa Sauzi tunamwona anachangamka na kujishebedua akija JK tu. Siku zingine wala hujui kama kuna mtu hapo.

    ReplyDelete
  6. Hivi mnajua kazi za Balozi na Ubalozi? Sio kuwafwata diaspora tu! Ujinga ghali kweli!!!

    ReplyDelete
  7. We anon unayesema sisi wajinga kwa kuuliza kwanini mabalozi hawaji kuonana na watanzania nafikiri wewe ndo akili mbovu..

    Watu wanauliza haki zao za msingi arafu wewe unafungua tu... basi eleza kazi za balozi

    ReplyDelete
  8. mbona kama familia tatu tu? Kuna mshikaji wangu aliniambia Minnesota ina watanzania wengi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...