Baadhi ya wadau walioshiriki kongamana la wawekezaji wa zao la korosho wakimsikiliza Ofisa Uhusiano Kitengo cha Kilimo wa benki ya NMB, Nancy Asman (pili kushoto), walipotembelea banda la NMB.
Baadhi ya wadau wa zao la Korosho wakiwa katika kongamano la wawekezaji wa zao la korosho lililofunguliwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya Bytrade Tanzania Bw. Harish Dhutia aliyehudhuria kongamanao la wawekezaji wa zao la korosho.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...