MAHAKAMA ya mwanzo, mjini Mbeya, leo imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons.  Habari kamili inakuja...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sijui ndio ushabiki gani?????????

    ReplyDelete
  2. Nafikiri ni utaratibu mzuri sana tuwapongeze police. Mechi ya simba na kagera pia kuna viti vimeharibiwa ilitakiwa washabaki walioshiriki kuharibu wakamatwe na outlaws faini kufidia hasara ya uharibifu. Itakuwa fundisho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...