Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF),Bw Anselim Peter (kulia) akitoa
maelezo kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mwelekeo mpya wa Mfuko huo wa GEPF baada ya
kupata sheria mpya hivi karibuni,Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari maelezo jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja wa Masoko na huduma kwa Wateja Bw Aloyce Ntukamazina
Home
Unlabelled
GEPF yaelezea mwelekeo wao mpya wa kiutendaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...