Baadhi ya Washiriki mbalimbali wa Kikao Maalum cha kupitia rasimu ya Maboresho ya Jeshi la Magereza wakimsikiliza Mtoa Mada ya “Risk Management”(hayupo pichani) wakati akiwasilisha Mada hiyo. 
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Kikao Maalum cha kupitia rasimu ya Maboresho ya Jeshi la Magereza katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro mara baada ya ufunguzi rasmi(wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala, Gaston Sanga(wa pili kulia) ni Kamishna Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(katikati) ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Haji Janabi(wa kwanza kushoto) ni Mkaguzi wa Ndani wa Jeshi la Magereza, Bw. Venance Nijimbere(wa pili kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa( wa tatu kushoto) ni Mtaalam na Mchambuzi wa maswala ya Utawala toka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Veira Shoo.
Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Naona jeshi la magereza wameendelea naona laptop kadhaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...