Katika Live Talk VOA Ijumaa mtangazaji Sunday Simba Shomary na Mwana FA wamezungumzia hadhi ya muziki wa Bongo Flava unakoelekea na Changamoto zake ambapo mgeni katika kipindi hicho alikuwa mwanamuziki wa Bongo Flava Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa a.k.a Binamu.Kusikiliza ungana na VOA kwa kubofya hapa.
Home
Unlabelled
MSIKILIZE MWANA FA KATIKA LIVE TALK YA VOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kazi nzuri VOA ongezeni muda wa matangazo BBC wanaendelea kupiga bao huku Bongo.
ReplyDelete