Washiriki waliokuwa wakikimbiza mbio za mwenge wa amani hapa nchini wakiwa kwenye eneo la shule ya kimataifa ya st Costantine jijini Arusha leo mbio hizo zinafikia hitimisho kwenye kilele cha mlima wa kilimanjaro kwa kuanza kupandishwa kesho kufika kwenye kilele cha mlima huo picha na mahmoud ahmad arusha.
 Wakimbiza mwenge wa amani wakiwa kwenye uwanja wa shule ya kimataifa st Costantine jijini Arusha wakati wakikimbiza mwenge huo mkoani Arusha leo mwenge huo upo nchini kukimbizwa na kesho unaelekea kupandishwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro ukihitimisha mbi zake zilizoanzia nchini Afrika ya kusini
Hapa wakimbiza mwenge wa amani ulioanza kukimbizwa hapa nchini jijini dar es salaam wakiwa kwenye shuele ya st constantine wakiwa na wanafunzi wa shule hiyo ikiwa ni ziara ya mwenge huo kwenye shule mbalimbali baada ya kuzinduliwa na mkuu wa wilaya ya arusha John Mongela kweny uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha leo. Picha zote na Mahmoud Ahmad, Globu ya Jamii, Arusha)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...