Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu,Bibi Mary Robinson ,wakati akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa karika mazungumzo na Rais wa Zamani wa Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa makuu,Bibi Mary Robinson aliemtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...