Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London Uingereza jana jioni muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria Mkutano wa Open Government Partnership.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London nchini Uingereza jana jioni(Picha na Freddy Maro)
ahahhahah nawaona watu wa reading namuona makamba ndani ya nyumba ahahahaha
ReplyDeleteKikwete endeleza Mapinduzi ndani na nje ya nchi. Isimamie CCM UK vizuri ina mashauri mazito mengi ikifunguliwa njia.
ReplyDeleteInafurahisha kuona wanadiaspora uk mlivyo mstari wa mbele kuwa karibu na juhudi za maendeleo nyumbani. Imani yenu na uongozi inatupa nguvu.
ReplyDeleteMdau Kisiwa Panza Pemba
Watu makini siku zote huwa karibu na nchi yao popote pale walipo bila kujali umbali.
ReplyDelete