Meneja wa huduma za Selcom,Bi. Everline Simpilu kushoto akitoa lisiti kwa mteja  wa mafuta wa kituo cha Oil Com Bw,Peter Ibrahimu wakati wa uzinduzi wa ununuaji wa mafuta kwa njia ya mtandao. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Oil Com Bw,Mohamed Said Nahdi Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori na Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu. Huduma za kununua mafuta kwa njia ya mtandao zitakuwa zikitolewa na kampuni ya Vodacom kupitia Mpesa ambapo uzinduzi huo ulifanyika Dar es salaam jana. Kampuni ya Selcom ndio wawezeshaji na mashine zao  za POS  zitakazokuwa zikitumika.

Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto akimpatia risiti  mteja  wa mafuta wa kituo cha Oilcom Bw. Peter Ibrahim wakati wa uzinduzi wa ununuaji wa mafuta kwa njia ya mtandao. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Oilcom Bw. Mohamed Said Nahdi Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori na Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu huduma za kununua mafuta kwa njia ya mtandao zitakuwa zikitolewa na kampuni ya voda com kupitia Mpesa na mashine pekee za Selcom POS  uzinduzi huo ulifanyika Dar es salaam 

Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto  akimweleza mwendesha bajaji Bw,Peter Ibrahimu  jinsi Selcom wanavyotoa huduma ya kununua mafuta kwa njia ya mtandao kwa kushirikiana na ,Vodacom Mpesa katika huduma ya lipa bidhaa pamoja na Oil Com

Meneja wa huduma za Selcom,Bi,Everline Simpilu kushoto Group IT meneja  wa Oil Com, Abubakari Mwita,Mkurugenzi wa Oil Com Bw,Mohamed Said Nahdi, Meneja husiano wa nje wa kampuni ya Vodacom Salumu Mwalimu.Ofisa wa Selcom Tumaini Mgori wakipata maelezo jinsi mashine ya Selcom inavyofanya kazi ya kununua mafuta kwa njia ya mtandao wakiungana na Oilcom na Vodacom  kupitia huduma ya lipa bidhaa  wakati wa uzinduzi uliyofanyika Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...