Familia ya Yagaza tunapenda kutoa shukhrani za
dhati kwa ndugu, jamaa, na marafiki walioweza kushiriki nasi katika
hali na mali wakati wa msiba wa mtoto, kaka, baba, na mjomba mpendwa Mwl.
Osckar P. Yagaza (pichani).
Mungu aliye asili ya wema wote azidi
kuwabariki kila iitwapo leo.
Raha ya milele uumpe ee Bwana na mwanga wa milele
umuangazie apumzike kwa amani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...