Wanamitindo mbali mbali wakipita stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mbunifu,Bongiwe Walaza wa Nchini Afrika Kusini wakati wa Muendelezo wa Maonyesho ya Mavazi katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.

Wanamitindo wakipita stejini kuonyesha mavazi yaliyobuniwa na Mbunifu,Mustafa Hassanali wa Tanzania wakati wa Muendelezo wa Maonyesho ya Mavazi katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week,lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.Baadhi ya Mavazi ya Mbunifu,Mustafa Hassanali.
Hongera wabunifu wa Tanzania kwa kazi nzuri, mbona atuvioni hivi madukani?
ReplyDelete