Meneja wa Kanda ya Ilala Mfuko wa Pensheni wa PPF, Evans Musiba (Kulia)
akionyesha Tuzo ya Kimataifa ya Huduma Bora kwa Wateja iliyotolewa kwa PPF
na Taasisi ya kimarekani ya Service Quality Institute (SQI) huko Instanbul
Uturuki katika Mkutano wa Kimataifa wa Huduma kwa Wateja.
Pichani, Evans Musiba aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa PPF William Erio
katika mkutano huo akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Service Quality
Institute (SQI) John Tschohl (wa kwanza kushoto), pamoja na watunukiwa tuzo
wengine toka Afrika, Afisa Mtendaji Mkuu wa Ethiopian Airline, Tewolde
Gebremariam (wa pili kushoto), na Country Manager wa Noesis Strategic
Institute Murtaza Versi (wa pili kulia).
Home
Unlabelled
PPF YATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA YA HUDUMA BORA KWA WATEJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...