Wilfred Moshi na Mlima Everest ni makala inayozungumzia safari ya kusisimua na kutisha ya Kijana shujaa wa Kitanzania anayefanya kazi ya upagazi kwa kuwahudumia watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro nchini. Wilfred alieweka maisha yake rehani kwa ajili kuweka rekodi mpya ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima Everest ambao ni mlima mrefu kuliko yote duniani na kuiletea Tanzania sifa kubwa Kimataifa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hongera sana kaka wilferd. umeiwakilisha tz vema sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...