Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akishiriki na Viongozi na waomboleaji mbali mbali katika kumswalia Marehemu Jecha Thabit Kombo,katika msikiti Masjid Nuru Muhammad,kwa mchina,na kuzikwa Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja
Baadhi ya wananchi walioshirki katika mazishi ya Marehemu Jecha Thabit Kombo,wakilibeba jeneza wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo kijiji kwao Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika mazishi ya marehemu Jecha Thabit Kombo,aliyezikwa kijijini kwao Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
MUNGU AMSAMEH NA KUMPA HIFADHI NJEMA KWENYE KABURI NA PEPONI NDUGU YETU,KAKA YETU ARBAAB JECHA.
ReplyDeletePOLENI BROTHER MAHMOOD SISTER RAHMA NA WANA FAMILIA WOTE.
AMEEN.
HAJI MRISHO,USA.
Allah ampe kauli Thabit , Ameen.
ReplyDeleteYeye katangulia sisi tuko nyuma yake.