Profesa Mwandosya akisaidiwa kukata keki ya Happy Birthday yake na mjukuu Lusekelo nyumbani kwake kijijini Lufilyo. Globu ya Jamii inamuimbia HEPI BESDEI PROF na Heri ya Mwaka mpya wewe na familia yako tararifu
Profesa Mwandosya akiwa na vijana wake wakati wa hafla hiyo fupi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Happy birthday prof.Mungu azidishe miaka mingi zaidi ya aliyoishi Mandela huku akikujaza hekima tele.Mungu awe nawe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...