Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The mdudu, kaka kuona Anasema pongezi kwa tume kwani hawajatutupa nasie wahuku Ugaibuni huo ndio uzalendo unaotakiwa coz tutaludi na maujuzi tulioupata huku na kuusambaza kwenye nchi yetu pendwa ya Tanzania,,ila nimestuka pale niliposikia yakwamba sie wa Bara tulikua hatuna haki ya kumiriki ardhi kule Zanzibar ila wao walikua na haki ya kumiriki ardhi huku bara,,sasa nasema hivi tunahitaji tutunge haraka sn Katiba yetu ya Tanganyika ili nao waonje uchungu wa kutokua na haki ya kumiriki Ardhi ya Tanganyika na hatutaki kusikia mnalalamika kwahilo hakiyamungu mtajuta kwahilo,

    ReplyDelete
  2. Kwa tathmini yangu, Tume ya Hon.Jaji Warioba, imefanikiwa na imefanya kazi nzuri sana ya kuuleza umma hali halisi ya mitazamo na mawazo ya watu wote wa Bara & Visiwani bila kuogopa wala hofu!

    Inastahili pongezi sana, nadhani wamefanikiwa mmno kuu-enzi utaifa zaidi kuliko mitazamo ya vyama vya kisiasa.

    Nadhani historia itakumbuka hicho walichofanya....sasa tungoje hatua zitakazofuata, ila kwa hapa Mzee na timu yake wamemaliza kazi...Hongera sana Tume ya Mzee Warioba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...