A nice place to live with two bedrooms, kitchen, seating room, with fenced located at MIKOCHENI B, in Dar es salaam. Located in a quite area, easy to access main road and facilities like, shopping centers, hospitals and schools, plus a lovely garden area, and enough space for parking .... Please contact me if you wish to discuss anything. My number is 0653312186 or 0772821920 and my email address is mhillal@hotmail.com.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Bongo houses, utafikiri uko jela, kila mahali ni very well secured.

    ReplyDelete
  2. How does someone get out in case of a fire?

    ReplyDelete
  3. Bongo kila anayezaliwa ni jamabazi. Ndio maana utakuta kila nyumba ina uzio mrefuuuuu lakini wapi! majambazi wanapita tu.

    ReplyDelete
  4. Hivi kiingereza ndiyo lugha ya taifa siku hizi? Kiingereza kingi nyumba yenyewe........... Andika kiswahili labda nitakufikiria!!

    ReplyDelete
  5. Hii nyumba inapangishwa naona hamjaelewa, sio kwamba inawaka moto! security ni muhimu sana kila mahali duniani, wabongo bwana kwa kuchonga!

    ReplyDelete

  6. Incase of fire, then one burns to death, they don`t even fit smoke alarms, by the time they wake up it is too late.

    ReplyDelete
  7. inabidi nyumba we kama jela vibaka wateja wa unga wa unga wanarejesha nyuma maendeleo wanaiba mpaka sufuria la uji ukiwacha wazi mlango wa jikoni

    ReplyDelete
  8. Mbona nje rangi haijapigwa yote?

    ReplyDelete
  9. jamani hii nyumba au servant quarter? Bei yake ni kiasi gani mbona hamuweki? Halafau kama wadau walivyosema in case of emergency inakuwa hapo?

    ReplyDelete
  10. Nyumba ya kawaida sana, kodi inaweza kuwa juu sababu tu iko Mikocheni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...