1.     Jaji Mkuu wa Tanzania pamoja na Majaji wengine wa Mahakama wakishiriki kuwaapisha na kuwasajili rasmi Mawakili hao wapya.
1.     Mawakili wapya wakitoa heshima ya Kimakama mbele ya Mhe. Jaji Mkuu na Maji wengine wa Mahakama ya Tanzania waliohudhuria katika sherehe hizo.
Meza ya majaji wastaafu pamoja na viongozi wa mahakama
1.     Ni kundi la baadhi ya Mawakili waliosajiliwa leo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Balozi Mstaafu, Mhe. Juma Mwapachu (wa kwanza kulia) ni miongoni mwa Mawakili hao wapya.
1.     Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma risala yake katika sherehe hizo ambapo amewataka Mawakili hao wapya kuwawakilisha vyema wananchi katika kupata haki zao. 
Picha na Mary Gwera wa Mahakama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...