Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Dotto ndugu yangu serikali yetu haijui jinsi ya kutumia kodi, abroud unalipa kodi na unaiona kabisa ukienda hospital unaridhika, wasio na kazi, wagonjwa wanasaidiwa. Ila wananchi hawaoni umuhimu wa kulipishwa kodi kubwa ambapo hawaoni faida yake zaidi ya wabunge kuvimba matumbo.
    Huduma za jamii km maji, umeme, elimu na afya zingekuwa bora hakuna ambae angegomea hiyo kodi, tatizo hela nyingi faida haionekani.

    ReplyDelete
  2. Abroud????

    ReplyDelete
  3. Najua tunatofautisha third world na developed country tuangalie vizuri kama US kila mji wana source zake za umeme na maji havishikiliwi na nchi

    ReplyDelete
  4. Mdau madogo madogo yakupite basi, hii si lugha mama. Lol

    ReplyDelete
  5. Tatizo ni system Tanganyika hakuna system TRA ni wezi kwenda mbele mfano mzuri nimepeleka gari ambayo imenikosti pounds 1500 lakini nimelipishwa ushuru wa miliono 4 za kibongo yaani ushuru unakosti zaidi ya bei ya gari. Tunapozungumzia ushuru TRA ni wezi tuu unategemea kumchaji masikini elfu moja serikali inasema haina pesa wakati huo huo inawapa Wabunge gari lenye thamani ya milioni mia mbili jambo ambalo halina umuhimu kabisa , tunaona nchi za wenzetu ambazo hizo hizo ndio zinazotupa misaada kama UK ,waziri mkuu wa wengereza mpaka leo some time anapanda baiskeli tuu anakwenda bungeni sisi mpaka leo vimuri muri 9 defender 5 bara bara zifungwe, hizo zote ni gharama ,ni lazima tuanze kufikiri mambo ya muhimu na yasio ya muhimu watu wanakufa kabla ya siku zao kufika hospitali hakuna madawa ,maji ya tabu ,umeme wa mgao mambo ambayo ni basic tuu sio rocket science lakini system ndio mbovu kumchaji mwananchi sh 1000 is not going to make any difference what so ever.

    ReplyDelete
  6. Mwinyi Jongo umetupia ...hahahahaha haya wa ukae.

    ReplyDelete
  7. Jabiri Jongo leo umeulamba mzee. Safi sana!

    ReplyDelete
  8. Dotto sijui kama amewahi kufika kijijini. Naomba kuuliza Dotto ametokea mkoa gani Tanzania na je huwa anaenda kijijini kwa babu na bibi? Na hii ndio aina ya viongozi ambao tunao. Wao wanaona ni sawa tu wakati hali halisi hawaijui. Viongozi wanaishi maisha ya utajiri na wamewasahau wananchi wa kawaida. Elfu moja ni hela nyingi sana kijijini walipo majority ya population ya Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...