MAREHEMU AZIZ SHEWEEN

NI MIAKA MIWILI SASA TANGU ULIPOTUTOKA GHAFLA TAREHE 31 DECEMBER 2011, NA KUTUACHIA HUZUNI KUBWA. MWONGOZO NA MATENDO YAKO YATAENDELEA KUWA DIRA KWETU DAIMA UNAKUMBUKWA SANA NA MKEO NA WATOTO WAKO NA NDUGU NA JAMAA. 

 Innalilah Wainnailayhi Rajuun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa


  1. RIP BROTHER and thanks for everything......

    from Nairobi

    ReplyDelete
  2. Huyu ni Aziz aliyekuwa anaishi Mikoroshini jamani? RIP Aziz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...