Marehemu Dkt. Frank Martin Elia

Leo Desemba 4, 2013 umetimiza miaka 6 tangu ututoke ghafla.  Ni siku ambayo hatutaisahau kamwe. Unakumbukwa sana na mkeo Mwl Grace Elia, wanao Martin, Makala, Esther, Angela,Gideon na Brenda, pia wajukuu zako Elkan na Briette.

Mama yako, Wadogo zako wa kiume na wa kike na familia zao, bibi Ulumbi, shemeji zako. Unakumbukwa pia na ndugu wote, jamaa marafiki na jirani zako popote walipo.

Daima tutakukumbuka kwa ucheshi wako, moyo wa upendo na furaha uliokua nayo daima wakati wote. Tulikupenda sana lakini Bwana alikupenda zaidi. 

Mungu na akuangazie mwanga wa milele na upumzike kwa amani mpaka tutakapoonana tena.
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. RIP mwalimu wangu at UDSM. It's true you were very loving and caring. Days have moved so fast Dr. Elia, I can't believe it's already 6 years since you departed to be with the Lord. I still remember your guidance when things were tough at the University.

    Poleni sana watoto, ndugu na jamaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...