Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima, Bungeni Mjini Dodoma Novemba 4, 2013.
Waziri wa Nci,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema,Bungeni jijini Dar es salaam Novemba 4,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Vyama vya wafugaji nyuki kutoka mkoa wa Tabora kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...