Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi, Kazi
na Utumishi wa Umma,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango
kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013
na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(wa pili kulia) Katibu Mkuu Kiongozi
Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee .
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Ofisi ya Rais,
Kazi,na Utumishi wa Umma,wakiwa katika cha kujadili utekelezaji wa
Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya
kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...