Maandamano ya siku ya Ukimwi duniani yakipita katika maeneo mbalimbali
ya mji wa Moshi.
Mgeni rasmi siku ya Ukimwi duniani Mh Owena Kowelo ,diwani wa viti
maalumu akizungumza katika maadhimisho ya siku hiyo yaliyofanyika
katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.
Mgeni rasmi siku ya Ukimwi duniani, Mh Owena Kowelo ,diwani wa viti
maalum akitoa chanjo ya vitamini A ikiwa ni uzinduzi rasmi wa utoaji
wa chanjo kwa watoto.kushoto kwake ni muuguzi katika zahanati ya
Bondeni Eliantuja Mzava akitoa msaada.
Kikundi cha ngoma wakiwemo wageni wakitoa burudani katika siku ya
Ukimwi duniani ambayo kwa Moshi ilifanyika katika uwanja wa kituo
kikuu cha mabasi mjini Moshi.
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...