kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Nicholas Kuhanga (wanne kushoto waliokaa)
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa chuo hicho pamoja na viongozi wakuu wa Chuo
kikuu kishiriki cha elimu Dar es Salaam (DUCE) katika mahafali ya sita ya DUCE yaliyofanyika mwishoni
mwa wiki iliyopita.
Wanafunzi waliofanya vizuri zaidi (waliosimama nyuma) wakiwa katika picha ya pamoja na kaimu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Balozi Nicholas Kuhanga (wanne kushoto waliokaa) a pamoja
na viongozi wakuu wa chuo hicho pamoja na viongozi wakuu wa Chuo kikuu kishiriki cha elimu Dar es
Salaam (DUCE) katika mahafali ya sita ya DUCE yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...