![]() |
Mbunge Deo Filikunjombe akitoa neno |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madaha kulia akiwa na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kati na mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Bw Kolimba wakati wa ibada ya Krismas jana |
Mchungaji wa kanisa la Anglikana mtaa wa Ilela Canon Ngoye akikabidhiwa kinada na mbunge Deo Filikunjombe
Mchungaji Ngoye akikabidhiwa saruji mifuko 20 kutoka kwa mbunge Deo Filikunjombe wakati wa ibada ya Krismas.
Kwa habari kamili na picha na Francis Godwin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...