Ngoma ya Chicco ya 'We Miss You Manelo' iliturusha sana Disko Toto enzi hizo. Hatukujuwa kwamba hio 'Manelo' ilimaanisha 'Mandela' ambapo wakati huo ilikuwa kosa la jinai kutaja jina hilo Afrika Kusini enzi hizo. Na Chicco alibadili jina na sio maudhui ya kuuliza u wapi Madiba. Tunakumiss sana, uko wapi?? Ankal aliiweka ngoma hii hewani jana Desemba 5, 2013 bila kujua kwamba leo atatutoka.
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
We Ankal wee..hiki kitu kilikuwa hatari kweli.Hao mabinti 3(Tiny Mbuli, Makie Motloung na Tshidi Wildeman) waliitwa 'Chicco Girls' ambao baadae walimkimbia(Chicco) na kuanzisha kundi lao la Chimora.Bahati mbaya huyu Tshidi Wildeman(anaonekana sekunde ya 0.10/11)alifariki 2007 akiwa na miaka 39.Walitoa na kitu kinaitwa I need some money-PESA LAKO.Umenikumbusha mbali kiongozi
ReplyDeleteDavid V
we miss you manelo (mandela) where are you?
ReplyDeleteShikamoo David V, kwakweli umechambua vilivyo hadi sasa hivi naurudia-rudia wimbo.
ReplyDeleteNami nimeupenda wimbo kwa kile ninachokiona yaani binti kapigwa / kafukuzwa nyumbani sababu ya mimba.
hayo maudhui yaliyojificha ni yatakuja na kupita tu.