THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE
OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
Fax: 255-22-2113425 |
|
PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.
Taarifa
iliyotolewa Ikulu, Dar Es Salaam leo, Jumanne, Desemba 3, 2013, na Kaimu Katibu
Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka
inasema kuwa uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.
Dr.
Asha-Rose Migiro ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Idara ya Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa katika Chama cha Mapinduzi.
Imetolewa
na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
3 Desemba, 2013
Hongera saana kwa uteuzi muhimu umetupa imani ya kutokuwa na kipingamizi katika mbio za mrithi wa uchaguzi mkuu wa uraisi 2015.
ReplyDeleteMhs. LOWASSA
Mhs. ASHA ROSE
Mhs. MEMBE
Hawa wana kiwango na sifa zote za uongozi bora kama warithi. Kamati kuu ya NEC waamuzi wetu wa uhakika
Mikidadi-Denmark
impending reshuffle?! kuna watu useless ndani ya cabinet, well we can't read too much into this, for now at least. but looks like it is a very strategic appointment.
ReplyDeleteThe mdudu,anasema team yake ya 2015 hii hapa kama kweli mnataka Tanzania iwe kama JAPAN au UK,bila ya hii team mm siludi hata kwa fimbo, R,Mwakyembe,W,mkuu Maguli,W,wa Elimu Lowassa,W,wa uchumi na pesa P,Ripumba,W wa udongo na ujenzi hapa piga uwa panamfaa huyu kijana wa SHILIKA LA NYUMBA wa sasa MSEMCHU kitu kama hiko sipo sure,J makamba W wa ulinzi na usarama wa taifa coz mzuri wa IT,mama Kilango waziri wa nishati yaani umeme tu coz hatopenda kuona akina mama na madada zetu wakitumia KUNI so panamfaa,W wa Madini Zitto K,coz yuko open sn huyu kijana,dr Dau waziri wa Uchukuzi akisaidiwana na John Mashaka,hakiamungu mabandari mapya mengi tu yangejegwa na manjia ya reli mapya na ya kisasa tungeyaona kuptia hao watu,ndugu zanguni mm naishia hapa na milango ipo wazi kwa yeyote anaetaka KUNIKOSOA au KUNIUNGA MKONO,mshinde salama wadau
ReplyDeleteKey player in CCM.Well done JK. Asha Rose Migiro ni mchapa kazi ameonyesha jinsi anavyovuruga vijiji hata huwezi amini alikuwa UN.achana na hiyo mizigo inayokaa ofisini na masuit kila sku kwenye viyoyozi.we need people like Asha.mpe na wizara kabisa.
ReplyDeleteDr. Bilal Rais-CCM
ReplyDeleteDr. A-R Migiro Makamu wake.
We mdau wa tatu inabidi uzifanyie kazi hizo "r" na "l" katika lugha yetu ya Kiswahili, siyo unakurupuka tu, hivi hamkufundishwa shuleni kwenu?
ReplyDeleteSalome sijaona balozi Japan vipi uraisi na yeye mama kichwa Yule
ReplyDeleteSalome sijaona hata Mimi
DeleteNan kubali
Mimi kwa mtazamo wangu....timu ya ushindi tena wa kishindo ni hii hapa...Rais...A.Makinda, W.Mkuu..S.Wasira..W.W.Utamaduni.J.Komba,W.W.Elimu.Mulugo,Nondo zingine kali mtamalizia wenyewe ktk timu hii ya ushind....yaani hapa piga ua hatuitaji kampeni wala nini hii ni timu pasua kishwa...
ReplyDeletenaomba kuuliza ubunge wa heshima ni upi? je huu si uteuzi wa wale wabunge 10 wa raisi?
ReplyDeleteKuna vimama vingi vichapa kazi lakini havijulikani. Kuna yule mama mhasibu wa kwanza TZ. nakumbuka jina la kwanza anaitwa Gerdine. Huyu mama kwa siasa hayupo, lakini aliendesha viwanda kama mhasibu enzi za Mwalimu.
ReplyDeleteHuyu mama akipewa uwaziri au unaibu akafanya kazi na mtu kama magufuli. Baaaasi. TZ hiyooooooo inapepea
Wamama vichwa na wamepiga Shule list. Salome (balozi wa japan )Sijaona,Rose lugembe,Hilda gondwe ( Kateuliwa juzi na Rais sikumbuki kazi gani ),Mariam mwafisi mama wa afya Yule .Wapo wa mama wewe sema wanakazi binafsi ukute
DeleteKuna vimama vingi vichapa kazi lakini havijulikani. Kuna yule mama mhasibu wa kwanza TZ. nakumbuka jina la kwanza anaitwa Gerdine. Huyu mama kwa siasa hayupo, lakini aliendesha viwanda kama mhasibu enzi za Mwalimu.
ReplyDeleteHuyu mama akipewa uwaziri au unaibu akafanya kazi na mtu kama magufuli. Baaaasi. TZ hiyooooooo inapepea