Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha ndugu jamaa na marafiki ya kuwa  Mzee Maurice Mosha amefariki dunia jumatano Dec 11 huko Minneapolis Minnesota .Marehemu  ni Baba Mzazi wa Ebrulphus na Angela Mosha wa Minnesota .Mazishi yamepangwa kufanyika Moshi Tanzania wiki ijayo.

Msiba upo nyumbani kwa Watoto wa Marehemu katika anwani ifuatayo:-

10649 Riverview Place NW
Coon Rapids MN 55433.

Siku ya jumapili saa kumi jioni kutakuwa na harambee [fund-raising] kwa ajili ya kuchangia gharama za kusafirisha mwili wa baba yetu kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi katika anwani ifuatayo:-

Holy Trinity Lutheran Church,
2730 E 31st Street
Minneapolis MN 55406

Tunaombwa ushirikiano wenu wa hali na mali kuchangia  msiba huu mkubwa .
Kama ilivyo desturi yetu tunaendelea kukutana kwa wafiwa kwa ajili ya kuwafariji kila siku.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na watu wafuatao:
1. Ebrulphus Mosha  763-732-2924
2. Angela Mosha  763-587-8349
3. Elia Aswan  651-325-6882
4. Evelyn Mlay 763-742-5334
5. Gracious Msuya 763-439-5626
6. Riwa Obel 952-457-0599
7. Charles Semakula 952-465-1130
8.Jackson Mollel 651-334-0163.

Bwana Ametoa,Bwana ametwaa,jina la Bwana Libarikiwe !

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...