Home
Unlabelled
TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI HARAMU WA KAMATI KUU YA CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hakika CHADEMA mme VURUNGWA na mme VURUGIKIWA haswaaaaa.
ReplyDeleteKufuatia saka nyoka na Gombania Goli inayo endelea ndani ya Chama hiki, Wananchi wengine (HATA TUSIO KUWA NA CHAMA AU VYAMA) tuna changanyikiwa na Misimamo inayo pishana ya Chadema!
ReplyDeleteKufuatia saka nyoka na Gombania Goli inayo endelea ndani ya Chama hiki, Wananchi wengine (HATA TUSIO KUWA NA CHAMA AU VYAMA) tuna changanyikiwa na Misimamo inayo pishana ya Chadema!
ReplyDeleteSiasa ni wazi imesha washinda!
ReplyDeleteNi bora muuwe Chama cha Siasa muanzishe SACCOS (CHADEMA CREDIT SOCIETY T. LTD.) na kuanza Kukopeshana ili muanze maisha mapya ya Ujasiriamali!
zama hizi za utandawazi si zama za kubaka dekrasia.jua limewawakia WABAKAJI.Namfahamu zito tangu shule ya sekondari ni mpiganaji ila hiyo timu yake siyo na haiwezi msimamo wake na kasi yake. Dhambi ya ubaguzi imeshaanza kushamiri ni hakika hao wabaguzi wanaweza kuleta kizaa zaa nchi yetu isiyojua ubaguzi.waondoke kukiokoa chama
ReplyDelete