Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jeneral Sarakikya akiwa katika hafla ya kukabidhiwa kwa Rasimu ya Katiba leo viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndio maana yake, Bongo uzee mwisho Chalinze...Ray Ban imemtoa General.

    ReplyDelete
  2. Mkimwita Mzee Sarakikya je, mnamkokea moto?

    Hawa tusiite Wazee tuseme 'Vijana wa zamani' !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...