Mtalii  akimsaidia kijana huyu wa shule ya vidudu kufunga nyuzi za viatu katika eneo la Mji Mkongwe  Picha na Sabry Juma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. That is sweet!

    ReplyDelete
  2. PEACE AND LOVE, TAIFA LA KESHO....

    ReplyDelete
  3. Jifunzeni ninyi mnaowasukuma watoto kwenye daladala....

    ReplyDelete
  4. Nyie huko sindio mnaomwagia tindikali? Leo ndio mnaowaona waungwana hao mtabaki mambumbumbu daima,,naitwa the mdudu kakakuona

    ReplyDelete
  5. kakakuona ,anaemwagia watu tindikali ni mhalifu tu kama mhalifu mwengine,mbona hata bara vitendo hivi vinafanyika? dar, arusha, mbeya vimeripotiwa vitendo hivi, hata ktk sikukuu hii tumesikia mtalii wa kichina ameuawa dar..acha chuki binafsi,.toa hoja za kujenga acha ubaguzi

    ReplyDelete
  6. WAMEAMBIWA WAVAE NGUO ZA HESHMA !

    ReplyDelete
  7. Asante the Mdudu Kakakuona,maana asiye na macho na aone.BAADA YA waZenji kuwamwagia malaika 2 (wadada) waliokuja kutoa ilim kwao,ona sasa kaka yao anapotoa fundisho kwa vitendo kuhusu upendo.Roho za kutu nyie...TUBUNI!

    ReplyDelete


  8. Haki kuheshimiana ndondoo!

    ReplyDelete
  9. NYUZI ZA VIATU? Lol!

    ReplyDelete
  10. Mtoto mfundishe akatae kufanyiwa mambo kama hayo na mtu asiyemjua. Ni rahisi mtoto kuibiwa au kufanyiwa vitendo vya ngono na watu wabaya!!

    ReplyDelete
  11. UHALIFU UKO BARA, ZENJ NA DUNIA NZIMA.(Tuwaache Mdudu kakakuona na wapo kila mahali) Mwenye akili na busara kama huyu mtalii anajua hilo.

    ReplyDelete
  12. Mnawasifia hamuwajui, wakija uko wanajifanya wema, njooni nchi zao ndo mtajua 98% yao sio wema kama wanavyojionyesha wakiwa Africa. Wanatubagua ile mbaya.

    ReplyDelete
  13. ANON wa 7 kutoka juu . Anaetoa msaada wa kuwafunga wadogo kamba za viatu huyu nae DADA pia , sio kaka . Labda dundo limekuchanganya .
    Asante

    ReplyDelete
  14. mdudu kaka kuona na mwenzio nna wasi wasi na elimu zenu jifunzeni kuelewa...acheni chuki na kila kona ya dunia watu wanauwa wanamwagiwa tindi kali...

    ReplyDelete
  15. hata nyie wanaokupeni ajira WAFANYABIASHARA pia huwamwagia tindikali AU kuwaua kabisa na si hao tu wengine mnawachuna ngozi na kila siku kuwauwa kwa silaha ...kama mahotelini au pia kwenye mbuga

    na hao mnowaona wa maana wamekuja kutoa ilimu ya nani mi sijapata kusikia 16 years akaja kufundisha labda wamekimbia shule hao maana 16yrs ndo kwanza unamaliza shule unajiandaa kwenda college ila wanalo walolifuata tu

    ReplyDelete
  16. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na elimu.

    ReplyDelete
  17. hii inaonyesha ufa au hitilafu zilizopo kwenye jamii yetu, sasa Mtanganyika anamsema Mzanzibari kama vile ni Taifa tofauti, tindikali, kuua albino hayo yote nilihisi ni aibu kwetu sote. Wakati umefika tugawane mbao wacha litote.

    ReplyDelete
  18. Hii inakuonyesha Mama habadiliki hata akiwa matembezeni bado hubaki kuwa Mama usimdharau Mama wa mwenzio kwani hujui nani atakufaa

    ReplyDelete
  19. Tujifunze Malezi na kuwajibuka kwa kuwalea Watoto wote hata kama sio wetu!

    Sio kila kukicha ni kuwatwnaga Makonzi vichwani na Mateke watoto, hivi tukiwatendea wema watoto tutapata hasara gani?

    ReplyDelete
  20. Isipokuwa ni lazima tukiri Jamii ya Visiwani hasa Zanzibar imebomoka kimaadili vilivyo!!!

    Huwezi amini kama ni ileile Zenji ya miaka ile Muda wa Swala watu wakiacha Maduka wazi wakienda Swala na kurudi wakikuta Maduka salama?

    ReplyDelete
  21. Zenj imaanguka kimaadili kulinganisha ilivyokuwa zamani na sasa kwa sababu mbili kubwa:

    1.Kuzidisha Harakati za Kisiasa zaidi kuliko kufanya Kazi.

    -Hii imeleta madhara makubwa sana kama kujengeana chuki,uhalifu kama kumwagiana Tindikali, kuhukumiana pia na majungu.

    -Watu kutumia muda mwingi kulaumiana badala ya kuwajibika ktk kazi na uzalishaji.

    2.Kuegemea Uchumi mbadala wa Biashara ya Unga badala ya Biashara rasmi ambayo ndio asli ya ndugu zetu hawa waungwana.

    -Kwa kuwa Zenj ni eneo lililokuwa na Rehma kubwa, kuzama ktk Uchumi huo wa kiza kumeleta maafa makubwa kwa kuwa Mwenyezi analipa tokea hapahapa duniani, ulifanyalo tegemea malipo papo kwa papo na mengine baadaye.

    -Zenji umekuwa ni mji wa idadi kubwa ya Mateja, kwa kutokana na kushamiri kwa Biashara ya Unga Visiwani humo.

    Nadhani Maafisa na Wadau wa Jamii Visiwani wakirekebisha hayo mawili hapo juu uwezekano mkubwa Zenji itarejea ya miaka ileee !!!

    ReplyDelete
  22. Mdau wa 17 hapo juu:

    ...UNAYEMALIZIA

    ''Wakati umefika tugawane mbao wacha litote.''

    Mhe.Nahodha aliyejiuzulu Uwaziri majuzi ameongea ktk Mkutanoi wa Hadhara huko Zenj AKAWAPA UKWELI WAPINGA MUUNGANO YA KUWA SERIKALI YA ZANZIBAR HAIJIWEZI KUMUDU GHARAMA KUBWA ZA UTAWALA.

    Wizara ya Ulinzi peke yake Inatumia Tsh. 1.2Trilioni, na Wizara ya Mambo ya Ndani inatumia Tsh. 800 Bilioni wakati SERIKAILI YA MAPINDUZI ZANZIBAR inabajeti ys Tsh.600 Milioni!!!

    Zanzibar imenufaika na Soko la Bidhaa la Bara lenye idadi ya watu 44 Milioni.

    Je kwa Mahesabu hayo ya haraka haraka Wapinga Muungano hamuoni faida za Muungano?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...