Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akipokea vifaa mbali mbali vya michezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Hassan and Sons kwa niaba ya wafanyabiashara wenzake Mhe. Mohamed Raza kusaidia mashindano ya Kombaini za wanafunzi wa Wilaya 10 za Zanzibar kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Hassan and Sons Mhe Mohamed Raza akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya kutumika katika mashindano ya kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vifaa mbali mbali kwa ajili ya mashindano ya kombe la Mapinduzi hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...