Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Khadija Mwinyi wakifurahia mashada ya maua wanayopewa baada ya kuwasili California.
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mama Khadija Mwinyi katika picha ya pamoja na wadhamini wa sherehe za uhuru California zilizofanyika katika Jiji la Oakland.
Rais Mstaafu akipeana mikono na Meya wa Jiji la Vallejo Bw Osby Davis
Rais Mstaafu katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jiji la Vallejo
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mama Khadija Mwinyi katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Kiswahili katika chuo kikuu cha Berkeley CA, kulia chini ni balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...