Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest
Mangu na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (DIGP) Abdulrahman Kaniki (kulia) akizungumza
na waandishi wa habari Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi . IGP Mangu aliwataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano
kwa Jeshi la Polisi ili kuweza kukabiliana na uhalifu na wahalifu. Picha na Hassani Mndeme -Jeshi la Polisi
Home
Unlabelled
IGP MANGU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tunaomba polisi vifriji vifutike ili kuongeza ufanisi; ni hatari kwa uchapakazi na afya kwa ujumla
ReplyDelete