1004083_796852693662558_866660999_n   
Mwanamitindo anayefanya vizuri sana nchini, Danny David atazindua kampuni yake mpya ya Gracing Africa inayojihusisha na ukuzaji na uendelezaji wa vipaji nchini hasa vya mitindo na fashion ijumaa hii katika hoteli ya Serena ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa meya wa Manispaa ya Ilala, mheshimiwa Jerry Slaa. 

 Uzinduzi huo wa aina yake utakuwa wa mwaliko pekee ni watu wachache watakaochaguliwa kuhudhuria sherehe hiyo. Danny ambaye hivi karibuni amerejea nchini toka nchini Afrika ya kusini alipoenda kwa ajili ya shuguli za kizazi amesema lengo la kampuni hiyo ni kukuza na kuendeleza vipaji vya vijana wengi nchini katika lengo la kuboresha maisha yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama hii ni "strictly by invitation" kwa nini mnatuhusisha sisi, si mfanye hayo mambo wenyewe tu!!!!

    Gracing ourselves only by inviting a servant of the people to grace your event is somewaht silly.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...