Familia, ndugu, jamaa na marafiki asubuhi leo wamememiminika katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam kutoa heshima zamwisho kwa  mwili wa Tonny Baretto. kabla ya kuelekea mazikoni katika Kijitonyama Crematorium, jijini Dar es salaam, ambako mwili wake utachomwa moto kama alivyousia kabla ya kuaga dunia.

 Marehemu alikuwa ni mmoja wa wanataaluma wa habari wakongwe aliyewahi kufanya kazi Tanzania Standard Newspapers (TSN) IPP Media na sehemu mbalimbali katika vitengo vya matangazo. Marehemu Baretto alifariki ghafla December 31, 2013 na kustua kila mtu.

Globu ya Jamii inaitakia familia ya Baretto Rambirambi na kwamba wakati huu tunasherehekea nao maisha ya Tonny ambaye alikuwa rafiki wa kila mtu. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Asante sana kwa kuposti video na picha za funeral. Naona Tony kaondoka kwa staili yake. Rest in eternal peace Tony Baretto.

    ReplyDelete
  2. My deepest condolences to family and friends of Tonny. You all did him proud with all the lovely tributes and final send off. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Amen.

    ReplyDelete
  3. Mungu akupumzishe mahala pema peponi kaka Tony.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...