: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kufungua rasmi Hospitali ya KMKIM Kibweni mjini Zanzibar leo  

Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Kikwete alipowasili kufungua rasmi Hospitali ya KMKM Kibweni leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wow a beautiful .....woman. Hiki ndio kikuubwa nilichokiona habari yoote hii.

    ReplyDelete
  2. Masha Allah sio beautiful tu, wana nuru usoni.

    ReplyDelete
  3. Ewe mdau namba wan.
    Wasema beautiful woman, lakini hukuona kuwa kiumbe huyo ni mwanamaji, jee wajua kuogelea?

    ReplyDelete
  4. well kumbe KMKM bado ipo si niliskia imeuliwa au ndio mwisho ZNZ jamani tupeni data

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...