Rais Barack Obama akiwa na Marais wastaafu wa Marekani waliomtangulia. Toka Kulia ni George W. Bush, Bill Clinton na Jimmy Carter. Nchi chache duniani zinaweza kupata taswira ya namna hii kama ilivyo kwa Marekani na Tanzania. Picha kwa hisani ya White House.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hilo pozi na la cheko la usoni, moyoni je?

    ReplyDelete
  2. Zimbabwe hawawezi kuwa na Picha kama hii karne hii...

    ReplyDelete
  3. Rwanda ndio kabisa

    ReplyDelete
  4. Jidanganyeni tu Duniani hamna Demokrasia ya kweli popote pale.Demokrasia ni hadaa,uongo,Wizi na Ubinafsi tu...Hawa jamaa mnaowasifia kuwa na demokrasia wanazo scandals kibao tena za kutisha.

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 4 juu yote mapungufu yapo lakini kama alivyoandika Mwandhishi angalau hapo Marekani tunamuona Obama na waliomtangulia tena wengine wakitokea Upinzani na pia hapa Tanzania tumeshuhudia Raisi Kikwete akinywa Juisi na Chai Ikulu huku wakifanya mazungumzo na Wapinzani!,,,haitoshi Maraisi Wastaafu wote nchini Tanznia na Familia zao wanaishi kwa Ushirikiano mzuri na Raisi Kikwete!

    Tanzania pia imeweza!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...