
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe wake (katikati) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa India anyefanyia kazi Zanzibar wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rasmi akiwa na ujumbe wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakati alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe wake,pichani akipeana mkono na Brigedia Jenerali Sheikh Sharif Othman .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar alipokuwa akiondoka kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe wak

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis alipokuwa akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kuelekea nchini India kwa ziara Rarsmi akiwa na ujumbe wake,.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...