Home
Unlabelled
Salamu za rambirambi toka ubalozi wa Tanzaniia marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Balozi
ReplyDeletePoleni sana, Mwezi wa Kumi nilikuwa Tanzania, wakati wa kuzima mwenge wa Uhuru Mjini Iringa Mh Rais alimwombea radhi waziri wa fedha kuwa alikuwa akihudhuria mikutano wa IMF/WB US wakati wabunge wote wa mkoa wa Iringa walipotambulishwa. Binafsi nimesikitika sana tena kusikia kifo cha Dr. Mgimwa.
Nilifika Hazima nikitaka kumsalimia na kuongea naye mambo mawili matatu kama kijana wa Kitanzania niliyetaka kumwona Kiongozi wangu mwezi wa kumi huo huo lakini kama unayofahamu nchini, utaambiwa andika barua, kupitia kwa katibu kata,tarafa, DC, mpaka kuja kumfikia PS wa Katibu Mkuu uchaguzi umefika waziri wa fedha kateuliwa mwingine.
Pole kwa familia ya Dr. Mgimwa na wana Kalenga..