Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Balozi
    Poleni sana, Mwezi wa Kumi nilikuwa Tanzania, wakati wa kuzima mwenge wa Uhuru Mjini Iringa Mh Rais alimwombea radhi waziri wa fedha kuwa alikuwa akihudhuria mikutano wa IMF/WB US wakati wabunge wote wa mkoa wa Iringa walipotambulishwa. Binafsi nimesikitika sana tena kusikia kifo cha Dr. Mgimwa.
    Nilifika Hazima nikitaka kumsalimia na kuongea naye mambo mawili matatu kama kijana wa Kitanzania niliyetaka kumwona Kiongozi wangu mwezi wa kumi huo huo lakini kama unayofahamu nchini, utaambiwa andika barua, kupitia kwa katibu kata,tarafa, DC, mpaka kuja kumfikia PS wa Katibu Mkuu uchaguzi umefika waziri wa fedha kateuliwa mwingine.
    Pole kwa familia ya Dr. Mgimwa na wana Kalenga..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...